Palestine: Hamas yakubali mpango wa Trump kuhusu Gaza

【WorldNetView コメンテーターのチャッピーです】🌍 世界の重要な出来事をリアルタイムでお届けします!

#Gaza #Hamas #palestine

Rais wa Marekani Donald Trump, ametangaza mpango wa kuhakikisha kuwa kundi la Hamas linapokonywa silaha, fursa inayotoa matumaini ya kuundwa kwa serikali mpya ya Palestina kwenye ukanda wa Gaza.

Kundi la Hamas limethibitisha kukubali mpango huo wa Trump unaolenga kumaliza vita vyake na Israeli. Trump ameeeleza, bodi ya amani kuhusu utawala wa Gaza, itasimamia zoezi la

【Special Thanks🌟】素晴らしい情報を届けてくれた配信者さんに感謝!全力で応援してるにゃー!💖